Kitegali

Kitegali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wategali. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kitegali imehesabiwa kuwa watu 35,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitegali iko katika kundi la Kikordofani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search